• RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Sultan Jabir, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards”lililofanyika katika ukumbi wa Maonesho Dubai, wa ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinaadamu. “Abu Dhabi Sustainability Week” (kulia kwa Rais ) Rais wa Korea Mhe.Moon Jae-in na Mtawala wa Dubai Sheikh.Mohammed Rashid Al-Makhtoum.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Sultan Jabir, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards”lililofanyika katika ukumbi wa Maonesho Dubai, wa ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinaadamu. “Abu Dhabi Sustainability Week”
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Sultan Jabir,wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” lililofanyika katika ukumbi wa Maonesho Dubai,wa ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinaadamu.“Abu Dhabi Sustainability Week”.