Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakili Zanzibar Wakili Joseph Shaban Magazi, waliomtembelea Ikulu, Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakili Zanzibar
Wakili Joseph Shaban Magazi, waliomtembelea Ikulu, Zanzibar.na kuushauri uongozi wa chama hicho kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa changamoto inayowakabili wanafunzi wa shahada ya sheria wanaoshindwa kuendelea na masomo yao.