Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa msaada wa Vifaa Tiba na dawa kutoka kwa Madaktari Bingwa wa Jamhuri ya watu wa China wanaotoa huduna za Afya katika Hospitali za Unguja na Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka China Dr.Qu Lishuai wakati akikabidhi Vifaa Tiba kwa ajili ya matumizi ya Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja Unguja,Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja, Chake chake Pemba na Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 7-6-2022. (Kulia kwa Dr Qu ) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.