RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Tanzania, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.