Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na msaidizi wa Waziri Mkuu katika masuala ya Biashara Bw. Lord Wanley Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msaidizi wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika Masuala ya Biashara Bw.Lord Wanley, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-4-2022.