RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Mkoa wa Kusini Pemba, wakati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.Mhe.Mattar Zahro Masoud (hayupo pichani) akiwasilisha katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi. Kabla ya kuendelea na ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Pemba leo 27-7-2022. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.