• RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kuzindua Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Balozi)Dr.Katrin Bornemann.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani,iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Balozi Regine Hess akizungumza wakati wa hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Ujerumani, pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Makatibu Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MABALOZI wadogo wanaowakilisha Nchi zao wanaofanyika Kazi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess wa kwanza kulia akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani akiwa na Maofisa Ubalozi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.