Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua mradi na kuweka jiwe la Msingi la mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Cricket Club and Sports Complex Fumba Zanzibar”
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya michoro ya ramani ya ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Cricket Club and Sports Complex” kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Bw.Shariff Ali Shariff,utakaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.