RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroun Ali Suleiman,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu,yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja 16-12-2022