RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwa.Emmanuel Tutuba, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa BOT kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 18-1-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu na (kulia) Gavana Mstaafu wa BOT Prof.Florens Luoga.