RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe.Humphrey.H.Polepole (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.