RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo katika ukumbi wa Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 13-4-2022