Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Ijitimai kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Ijitim Magogogni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Ijitimai kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya wakati akiendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Magharibi”B”