RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ufunguo wa gari Mwenyekiti wa Kikundi cha Wajasiriamali Usafi Kwanza Bi.Fauzia Omar, kwa ajili ya kufanyia usafi katika shehia yao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ufunguo wa gari Mwenyekiti wa Kikundi cha Wajasiriamali Usafi Kwanza Bi.Fauzia Omar, kwa ajili ya kufanyia usafi katika Shehia yao lililotolewa mkopo kupitia Benki ya CRDB,kwa kikundi cha Ushirika.