RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama wa Mkoa wa Geita alipowasili Uwanja wa Ndege Chato
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama wa Mkoa wa Geita alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chato, kwa ajili ya kuhudhuria Siku ya Kumbukizi ya Mwaka mmoja tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli, inayofanyika leo 17-3-2022 Wilayani Chato.