RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wakati wa hafla ya kuwakabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wenyemahitaji maalum.
RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wakati wa hafla ya kuwakabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wenyemahitaji maalum.(Wazee,Watu Wenye Ulemavu na Yatima) iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.