Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Moha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati waimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika leo ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.