RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinAli Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Wafanyakazi wa Ndege baada ya kuwasili Mkoni Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Wafanyakazi wa Ndege baada ya kuwasili Mkoni Dodoma leo 22-1-02022, akitokea Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria, inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma.