Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa nne kulia) wakati wa kuhikisha Dua Maalum aliyoombewa katika Masjid Mushawwar Mwembeshauri baada ya Swala ya Ijumaa, iliyotayarishwa na Jumuiya ya Fisabililah Tabligh Markaz