Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wajane Afrika ulioongozwa na Mwenyekiti wa chama cha Wajane
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al-haj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wajane Afrika ulioongozwa na Mwenyekiti wa chama cha Wajane wa Afrika (TAWS) Bi.Hope Nwakwesi (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.