RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wafadhili waliojenga Msikiti wa Kilimani Masjid Fatma Ahmad Merdas.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wafadhili waliojenga Msikiti wa Kilimani Masjid Fatma Ahmad Merdas, alipowasili katika viwanja vya Msikiti huo kwa ajili ya kuufungua na kujumuika na Wananchi kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma Ahmad Merdas baada ya kuufungua rasmin leo 10-2-2023