Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiitikia dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) dua iliyofanyika leo katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria ,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman