RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Rijali Mavua, alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B”
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Rijali Mavua, alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kumjulia hali yake.