RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-2-2023, na kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Bw.Ahmed Baker na Bw. Ali Albwardy,Wafadhili wa ujenzi wa Masjid Fatma Ahmad Merdas Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja