RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuasiria kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuasiria kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Masjid Hussein Ghana Kichakani Wilaya ya Kati Unguja leo 18-11-2022, na kujumuika na Wananchi wa Ghana katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo.