RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Samia Suluhu Hassan wakielekea katika kaburi la Rais
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Samia Suluhu Hassan wakielekea katika kaburi la Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kumuombea dua na kuweka mashada ya maua katika kaburi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2022.