RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Salum Dimani, walipokutana katika maziko ya Marehemu Salma Mbe

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Salum Dimani, walipokutana katika maziko ya Marehemu Salma Mbeto Khamis, yaliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-3-2023, Marehemu ni Ndugu wa Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar.Ndg. Khamis Mbeto Khamis