Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wanafamilia ya Marehemu Sheikh Ali Rijali mara alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Bambi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wanafamilia ya Marehemu Sheikh Ali Rijali mara alipowasili katika msikiti wa Ijumaa Bambi kwa ajili ya kuswalia Mwili wa marehemu huyo aliyefariki na kuzikwa katika Kijiji cha Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.