RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wanafamilia wa Marehemu Mussa Hassan Mussa,aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar,alipofika Kiij
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wanafamilia wa Marehemu Mussa Hassan Mussa, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar, alipofika Kijijini kwao marehemu Bwejuu kwa ajili ya kutowa mkono wa pole na kuhudhuria Kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea marehemu.