President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
  • Home
  • President's Office
    • Overview
    • Vision & Mission
    • President
    • Past Presidents
  • Administration
    • Revolutionary Council
    • Office of the President
  • Media
    • News and Events
    • Speeches and Statements
    • Press Releases
    • Photos
    • Videos
    • Videos 2
  • Publications
    • Speeches
    • Action Plans
    • Publications
    • Reports
    • Budgets
  • Blog
  • Contact Us

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi ikisomwa na Sheikh Shariff

  • 31 Aug 2022
  • News and Events
  • 132
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi ikisomwa na Sheikh Shariff (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika katika Kijiji cha Mangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 31-8-2022 na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Abdulla Suleiman na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Karume.

Media

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akibadilishama mawazo na Viongozi wa Serikali,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, il
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akiwasili katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohammed Shein – SUZA, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kuhudhuria ka
  • SMZ kusaidia uanzishwaji wa Mfuko wa Hijja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al Adha
  • Rais Dkt. Mwinyi alifika nyumbani kwa familia ya Marehemu Sheikh Jabir bin Haydar bin Jabir Al-Farsy eneo la Kikwajuni, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi kutoa salamu za rambirambi pamoja na k
  • RAIS MWINYI:Zanzibar inatambua mchango mkubwa wa China.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na Wachezaji wa Klabu ya Simba katika Hoteli ya Madinat Al Bahr.Dk.
  • Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba kiasi cha Dola Laki Moja za Kimarekani endapo itafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na B
  • Dk. Mwinyi amesema Mkopo wa Billioni 240 ni wa kujenga Skuli za Ghorofa 23 Zanzibar.

Subscribe to RSS Feeds

Get all latest content delivered to your email a few times a month.

  • English
  • Swahili
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

Quick Links

  • Overview
  • Vision & Mission
  • President
  • Past Presidents
  • Revolutionary Council
  • Office of the President

Categories

  • Blog
  • News and Events
  • Speeches and Statements
  • Press Releases
  • Photos
  • Videos
  • Useful Links

Useful Links

  • First Vice President Office
  • Second Vice President Office
  • Chief Secretary Zanzibar
  • House of Representatives
  • Zanzibar Investment Promotion Authority
  • Ministry of Finance and Planning Zanzibar

Talk to the President App

© Copyright 2025 - President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar

  • Home
  • Privacy Policy
  • Feedback
  • E-Office
  • Webmail