RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Mwema Omar Jongo, yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-2-2023