RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Baba Mzazi wa Marehemu Salim Ahmed Bakhressa,Bw.Ahmed Salim Bakhressa na Said Salim Bakhress
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Baba Mzazi wa Marehemu Salim Ahmed Bakhressa,Bw.Ahmed Salim Bakhressa na Said Salim Bakhressa, baada ya kumalizika kwa kisoma cha Dua na Hitma, ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja.