RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ,.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Said Bakari Jecha aliyewahi kuwa Waziri wa SMZ, maziko hayo yamefanyika Kijijini kwao Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.