Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Shada la mauwa katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya Dua ya kumuombea inayofanyika kila mwaka, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar