RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa leo 29-7-2022.