RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam Masingini Wilaya ya Magharibi “A”Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam Masingini Wilaya ya Magharibi “A”Unguja, baada ya kuufungua Msikiti huo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Huda leo 23-9-2022.