Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika Baraza la Eid El Fitri leo lililofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika Baraza la Eid El Fitri leo lililofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, katika kusherehekea Sikukuu ya Idd baada ya kumalizika kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.