Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki swala ya Ijumaa na Waumini mbali mbali katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharib

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo ameshiriki swala ya Ijumaa na Waumini mbali mbali katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.