Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki Bw.Ilhan Kar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki Bw.Ilhan Karadeniz wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar