Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Sheikh Omar Abdi Abdalla aliyetoa khutba ya Swala ya Ijumaa, Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Sheikh Omar Abdi Abdalla aliyetoa khutba ya Swala ya Ijumaa, Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi mara baada ya kujumuika na Waumini mbali mbali katika Swala ya Ijumaa (katikati) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.