Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) wakifungua pazia kuashiria ufunguzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Masjid Salim, Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023