Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Samir Zulfikar na Viongozi Wengine alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa Mwembe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Samir Zulfikar na Viongozi Wengine alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa Mwembe Shauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika swala ya Maiti ya kumuombea Mama wa Sheikh Samir Zulfikar,katika Msikiti huo 26/10/2023.