Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa nasaha zake kwa waumini wa dini ya Kiislamu baada ya ufunguzi wa Masjid Muhammed Bin Ahmed Al Jof
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa nasaha zake kwa waumini wa dini ya Kiislamu baada ya ufunguzi wa Masjid Muhammed Bin Ahmed Al Jofair, Chuini Wilaya ya Magharibi A Unguja, uliojengwa kupitia Wafadhili na michango ya Waislamu mbali mbali.