Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kama ishara ya Uzinduzi wa Masjid Istiqama,Msikiti uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaska
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kama ishara ya Uzinduzi wa Masjid Istiqama,Msikiti uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa Bw.Suleiman Mohamed Yahya (wa nne kushoto) katika sherehe iliyofanyika sambamba na Swala ya Ijumaa 3/01/2023.