Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika swala ya maiti ya Marehemu Sheikh Ali Rijali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa sita kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika swala ya maiti ya Marehemu Sheikh Ali Rijali katika msikiti wa Ijumaa Bambi ambapo amezikwa katika Kijiji kwao Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja.