Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisalimiana na Waumini wa shehia ya Kombeni baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisalimiana na Waumini wa shehia ya Kombeni baada ya kumalizika kwa ibada ya swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Masjid Noor Kombeni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi