Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Viongozi pamoja na wananchi mbalimbali katika mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mkoa w
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Viongozi pamoja na wananchi mbalimbali katika mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Marehemu Abdalla Mwinyi Khamis, ambaye alifariki dunia jana akiwa hospitalini. Marehemu Abdallah Mwinyi alifariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lumumba.