Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Muhammad (
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Muhammad (SAW), uliopo Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, na kuwahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuilinda na kuikuza amani nchi isiyo na amani haiwezi kutekeleza shughuli zozote za maendeleo.