RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Ku
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023