RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Alhabib Muhammed bin Omar, wakielekea katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja baada ya kumaliza kumsomea

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Alhabib Muhammed bin Omar, wakielekea katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja baada ya kumaliza kumsomea dua marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt.kwa ajili ya kisomo cha Hauli ya marehemu kutimia miaka 100 tangu kufa kwake.